Hivi karibuni Raisi mwenye guvu zaidi duniani na maadui wengi kuliko maraisi wote Barack Obama aliamua kutembea mtaani kama raia wa kawaida. Alionekana akicheka, kusalimia watu na hata kusimama na kupiga story na baadhi ya wakazi wa jiji la Washington. Hii sio kitu cha kawaida kwa Raisi wa taifa kubwa kama Marekani kuonekana akirandaranda mtaani kama mwananchi wa kawaida, Swali ni Je Raisi wetu mheshimiwa J. kikwete anaweza kufanya hivyo? Ni swali tu.
Mtazame hapa..
26 Mei 2014
Home
Barack Obama
Jakaya Kikwete
News
Social
Je , hili alilolifanya Obama, Kikwete anaweza kudhubutu?
Je , hili alilolifanya Obama, Kikwete anaweza kudhubutu?
Tags
# Barack Obama
# Jakaya Kikwete
# News
# Social
About Mrs News Tanzania
Social
Category:
Barack Obama,
Jakaya Kikwete,
News,
Social
