NEWS

22 Juni 2014

Video: Angalia alichofanya AY na Faraja Nyalandu..kwenye hii video

Huwezi amini kama msani wa muziki wa Bongo Fleva hapa nchini AY kama anaweza kufanya haya yote, hapa utamuona akiwa na aliyekuwa miss Tanzania Faraja Nyalandu wakiwa ndani ya fani ya maigizo, katika project mpya inayosimamiwa na shirika la kimataifa la UNICEF, inayopiga vita unyanyasaji wa watoto wa kike.