Recho alikuwa akizungumza na Victoria FM jana na ndipo alipoulizwa vitu viwili anavyovipenda kwenye maisha yake.
“Mbali ya muziki ninaofanya ninapenda kupika na mapenzi,” alisema. “Mimi nampenda mtu ambaye nampenda mimi, siwezi nikamsema ni mtu gani, nina mchumba, nina mpenzi lakini ni mpenzi wangu yaani boyfriend.”