NEWS

23 Septemba 2014

Huyu ndiye Mshiriki wa pili wakike kutoka Tanzania atajwa #HotShots

M-Net na wameendelea na utaratibu wa kutangaza washiriki wa shindano hilo kutoka nchi mbalimbali Africa, na katika majina matatu yaliyotajwa yamemjumuisha Mtanzania wa pili atakayewakilisha katika shindano hilo, mrembo Irene Laveda.



Irene ataungana na Idrisa kuiwakilisha Tanzania katika mashindano hayo yatakayochukua siku 63 badala ya siku takribani 90 zilizozoeleka.

Bofya HAPA kuangalia akijieleza.

Washiriki wengine waliotajwa ni Kacey Moore kutoka Ghana na JJ kutoka Zimbabwe.

Tazama picha zao hapa...