NEWS

22 Machi 2017

Wananchi Wasikitishwa na Yaliyomkuta Mange Kimambi, Wataka Kumchangia.


Watu wengi wameoneshwa kusikitishwa na jambo lililomkuta Mange Kimambi kuhusu kupigwa mnada kwa Hoteli ya familia yao ambayo Mange anahisa 25%.


Kwa kuonyesha masikitiko yao juu ya jambo hilo, watu wengi wamemuomba Mange atoe namba ya Akaunti wamchangie ili aweze kulipa deni wanalodaiwa.