NEWS

20 Februari 2018

Breaking: Ripoti ya TRA Kuhusu Utajiri wa Kakobe

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema imemfanyia uchunguzi Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel, Zachary Kakobe na kubaini kuwa hana akaunti ya benki katika taasisi yoyote ya kifedha hapa nchini.

TRA imesema katika akaunti ya kanisa ambayo Kakobe ni moja ya wasimamizi wake, wamekuta kiasi cha Tsh. Bilioni 8.

The post Breaking: Ripoti ya TRA Kuhusu Utajiri wa Kakobe appeared first on Global Publishers.