NEWS

28 Februari 2018

CCM Yakataa Ombi la Lowassa Kurejea Chamani

Habari kutoka kwa Katibu wa Itikadi na uenezi wa CCM Humphrey Polepole, ni kuwa wamekataa ombi la mzee wa Monduli kurejea CCM.

Source: Gazeti Uhuru. Ukurasa wa mbele leo.