NEWS

20 Februari 2018

Juice Kingdom Yaja Katika Muonekano Mpya Dar

Muonekano wa Juice Kingdom, wauzaji wa juisi waliopo Sinza-Afrika Sana, jijini Dar es Salaam. Muuzaji akimhudumia mteja wa juisi.

Baada ya kuuziwa juisi, mteja anaonekana akionja ladha tamu ya juisi ya maziwa.

Watu mbalimbali wakipata huduma katika Juice Kingdom.

Mteja akiwa na wafanyakazi wa Juice Kingdom walio tayari kutoa huduma wakati wowote.

JUICE KINGDOM wauzaji wa juisi zinazopendwa na wateja waliopo Sinza-Afrika Sana wamekuja katika muonekano mpya kwa wauzaji wa juisi za aina mbalimbali ambazo ni pamoja na za maembe, tende, maziwa, passion, ukwaju, machungwa na kadhalika.  Juisi hizo zinapatikana kwa bei nafuu na zinapatika kwa masaa 24.

Ukifika Juice Kingdom na kununua juisi zao, utajipatia zawadi mbalimbali.

The post Juice Kingdom Yaja Katika Muonekano Mpya Dar appeared first on Global Publishers.