
MTANGAZAJI wa Clouds Media, Shaffih Dauda na mwenzake Ben Ali wanaotuhumiwa kumiliki na kuendesha Blog ya dauda.com bila kuwa na kibali cha Mamlaka ya Mawasiliano #Tanzania (TCRA), wameachiwa kwa dhamana na Mahakama ya Mkazi Kisutu leo Septrmba 24, 2018.
The post BREAKING: SHAFFIH DAUDA AACHIWA KWA DHAMANA KISUTU appeared first on Global Publishers.