NEWS

5 Septemba 2018

JPM Ampigia Simu Waziri Lukuvi Hadharani, Ampa Maagizo – Video

Rais Dkt John Magufuli, ameendelea na ziara yake ya kutembelea, kukagua na kuzindua miradi mbalimbali inayotekelezwa katika maeneo ya Kanda ya Ziwa Victoria ambapo leo Septemba 05, ametembelea mkoa wa Mara, wilaya ya Bunda na kisikiliza kero kisha kuzungumza na wananchi wa eneo hilo kabla ya kutoa maamuzi ya papo kwa hapo.

VIDEO: MSIKIE JPM AKIFUNGUKA HAPA

The post JPM Ampigia Simu Waziri Lukuvi Hadharani, Ampa Maagizo – Video appeared first on Global Publishers.