Wabunge Freeman Mbowe na Ester Matiko warudishwa gerezani kusubiria uamuzi wa mahakama ya rufaa kuhusu dhamana zao.
Washtakiwa hao wamerudishwa mahabusu jioni hii baada ya mahakama kuu kusitisha kuendelea kusikiliza rufaa ya dhamana za wabunge hao.