NEWS

31 Desemba 2018

Hiki Ndicho Alichokoment Daimond Baada ya Natasha Kupost Ndinga Yake Mpya

Hiki Ndicho Alichokoment Daimond Baada ya Natasha Kupost Ndinga Yake Mpya
Mwanadada Tanasha Dona raia wa Kenya ametambulisha gari yake aina ya BMW kwenye akaunti yake ya instagram ambapo imezua maneno kwamba lazima mpenzi wake Diamond ndyo atakuwa amemnunulia gari hilo.



Kupitia akaunti yake hiyo ameweka picha ya gari BMW yenye rangi ya blue huku ikiwa imeandamana na maelezo yanayosomeka, “Miss my BEAST baby blue 🔥 @bmw”



Diamond Platnumz alikomenti kwenye post hiyo kabla ya dakika 30 kwa kuweka emoji za moto “🔥 🔥 🔥 🔥”.






Mpaka wakati huu wawili hao wana muda wa mwezi mmoja kwenye mahusiano yao.