NEWS

1 Desemba 2018

Video Mpya ‘Hatufanani’ Toka Kwa Shetta, Jux & Mr Blue

Unapokuja kwenye swala la kutaka kujifananisha na baadhi ya watu, Shetta, Jux na Mr Blue wanakataa kuhusiana na hilo na wanakwambia ‘Hatufanani’

 

Video imeongozwa na Hanscana.

 

 

Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa ingia Global App na kama huja install, nimekuwekea link hapa chini:👇👇👇👇

Android ===>GooglePlay

iOS ===>AppStore

Itazame hapa.

 

The post Video Mpya ‘Hatufanani’ Toka Kwa Shetta, Jux & Mr Blue appeared first on Global Publishers.