Msanii wa muziki wa Hip Hop Bongo , Fareed Kubanda maarufu kama Fid Q, amefunga ndoa jana katika Msikiti wa Qiblatain Boko Jijini Dar es Salaam