NEWS

2 Aprili 2019

VIDEO: KUMEKUCHA MANARA AWATAHADHARISHA TP MAZEMBE


Kwa kauli Mbiu ya YES WE CAN Baasi TP Mazembe hatoki pale kwa Mkapa siku ya Jumamosi. Msemaji wa Simba Haji Manara atangaza kiingilio cha chini  ni elfu  nne katika mchezo wake wa robo fainali.

The post VIDEO: KUMEKUCHA MANARA AWATAHADHARISHA TP MAZEMBE appeared first on Global Publishers.