Kampuni ya Global Group yenye makao makuu yake Sinza Mori jijini Dar es Salaam, leo imeandaa futari iliyowahusisha wafanyakazi wa kampuni hiyo wakiongozwa na Mkurugenzi Eric Shigongo na watoto yatima kutoka Kituo cha Shamsu kilichopo Mwananyamala A jijini Dar.
Watoto kutoka Kituo cha Kulelea Watoto Yatima cha Shamsu kilichopo Mwananyamala A jijini Dar es Salaam wakipata futari katika ofisi za Global Group, Sinza Mori.
Meneja Mkuu wa Global Group akijumuika na watoto kupata futari.
Mkurugenzi wa Global Group, Eric Shigongo akijumuika na watoto kupata futari.
Meneja Mkuu, Abdallah Mrisho akitoa neno la shukrani baada ya futari hiyo.
Mkurugenzi wa Global Group, Eric Shigongo akipeana mkono na msimamizi wa Kituo cha Shamsu, Issa Abdallah Hassan.
PICHA NA MUSA MATEJA NA RICHARD BUKOS | GPL
MAGAZETI JUNI 01: HATARI! WANAWAKE WANAINGILIWA NA TELEZA KIGOMA