NEWS

2 Juni 2019

Sakata la Mjamzito Kujifanyia Upasuaji na Wembe, DC Nkasi Kazungumza



Baada ya kusambaa taarifa kutoka Wilayani Nkasi mkoani Rukwa juu ya mwanamke aliyekuwa na ujauzito na kujipasua tumbo kwa kitu chenye ncha kali (wembe) na kumtoa mtoto tumboni kisha baadae kusaidiwa na watu na kupelekwa hospitalini ambapo alianza kupatiwa matibabu ya kuokoa uhai wake na wa mtoto.

Sasa AyoTV na millardayo.com zimefika mpaka hospitali ya mkoa wa Rukwa mahali alipolazwa mwanamke huyo na kufanikiwa kumpata mkuu wa Wilaya ya Nkasi Said Mtanda aliyeelezea tukio hilo lilivyokuwa.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama VIDEO