Mwanamuziki Diamond Platnumz, usiku wa kuamkia leo amezindua ngoma yake ya ‘Rotate’ aliyoshirikishwa na Romy Jons ambayo inapatikana kwenye Album ya, RJ the DJ, inayoitwa Listening Changes.
Album ya Listening Changes imezinduliwa rasmi usiku wa Julai 30, katika ukumbi wa Mlimani City ambapo Diamond alipanda jukwaani na kuizindua rasmi ngoma hiyo..
Romy Jons ‘RJ the DJi ni DJ wa mwanamuziki Diamond Platnumz, ambaye pia ndiye DJ wa kwanza Bongo Kuzindua Album Yake.
The post VIDEO: DIAMOND Alivyozindua NGOMA Yake Mpya na ROMY JONS Mlimani City! appeared first on Global Publishers.