NEWS

3 Agosti 2019

Peter Msechu "Walai Baba Levo Akitoka JELA Mke Wake Atamkuta Ana Mimba Yangu ya Miezi Mitano'

Kufuatia tukio la Mheshimiwa Baba Levo Diwani wa kigoma kufungwa jela miezi Mitano rafiki yake kipenzi Peter Msechu ametoa kali ya mwaka kwa kusema kuwa Baba Levo Akitoka Jela Atakuta Mke wake ana Mimba yake ya Miezi Mitano.....

Tazama Video Hapa: