MSANII wa kaundi la Navy Kenzo, Aikah Marealle, amefunguka sababu za kutokufanya nyimbo za peke yake, amesema kwamba walikuwa wanataka kusimamisha kundi kwanza alafu nyimbo za peke yake zitafuta.
Aidha Aika amesema kuwa uhaminifu ndio kitu pekee kinachochangia wao kuendelea kuwa pamoja na kuthibitisha kuwa hajawai kumfumania na mwanamke mwingine.
Pia amesema yeye huwa hapendi mambo ya skendo na analinda heshima yake ndio maana hasikiki kwenye maskendo.
NAHREEL afungukia NDOA yake na AIKA/ Umiliki wake kwa TIMU ya MPIRA
The post VIDEO: AIKA Akana Kumfumania NAHREEL, Jina la MTOTO wake ni Collabo appeared first on Global Publishers.