NEWS

2 Agosti 2019

VIDEO: Mzee wa Upako aibuka na waraka wa Kinana,Makamba ''mwacheni rais afanye kazi''


Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC)la jijini Dar es salaam, Anthony Lusekelo alimaarufu kama 'Mzee wa Upako' amempongeza Rais Magufuli kwa jithada zake za kupambana ili kuleta maendeleo, huku pia akifunguka kuhusiana na waraka ulioandikwa na waliokuwa makatibu wakuu wa Chama cha Mapinduzi CCM, Yusuph Makamba na Abdulrahman Kinana kusema kuwa kama angepata nafasi ya kuwashauri angewambia wasiandike waraka huo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI: