NEWS

31 Desemba 2019

Diamond Ajenga Msikiti Nyumbani Kwao KIGOMA Auzindua Kwa Kupanda Mti

Diamondplatnumz Akipanda Mti Nje ya Msikiti Alioujenga Mwenyewe, Uliopo Ujiji Unaoitwa MASJID AL-AZIZ na Utatumiwa na waislam Wote Katika Ibada, Hii Ikiwa Sehemu yake ya Kurudisha Kwenye Jamii Kidogo Alichojaaliwa na Mwenyezi Mungu Katika Kipindi Chote Alichofanya Sanaa

Na Hapa ni kwao kwa Msanii Diamondplatnumz na Huu ndio msikiti ambao msanii Diamond Ameujenga kwaajiri ya Wanakijiji wenzake katika mtaa wa Eneo lao... Mwenye Mungu Ambariki Diamond Katika Hili... Wote katika Imani Tuseme **AMIIN