NEWS

30 Desemba 2019

Jaji Mkuu Tanzania Ataka WATU Wasikamatwe Bila Upelelezi Kukamilika


''Mahakama hazipaswi kulaumiwa kwa msongamano wa watu magerezani bali wapelelezi wa kesi. Wapelelezi huchukua muda mrefu kukamilisha upelelezi. Na sababu za wao kutumia muda mrefu wakati mwingine hazina mashiko. Watu wasikamatwe kabla upelelezi kukamilika,''Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma.