NEWS

29 Desemba 2019

Penzi la House Girl Halijawahi Kumwacha Mtu salama

Wakuu
Hapa akili imejaa maji kabisa isijue nini cha kufanya!

Baada ya wife kubadilisha hose girl siku za hivi karibuni, alifanikiwa kuleta binti toka huko iringa
Huyu binti ni mrembo kwa kweli na alivyokuja jijini hapa hali yake ya maisha imebadilika kapendeza saaana yaani mwanaume lijali lazima anaswe naye tu

Basi hakukaa hata mwezi akajikuta kanizoea, mi na wife tukienda kazini nawahi kurudi kabla yake hivyo muda nakuwa homu na huyo house girl, na nikafanikiwa kumpata rahisi tu mimi kama bosi wake hata sijamtongoza nikalaza mtu horizontal

Kweli nimeamini penzi la house girl halimwachi mtu salama, sasa house mad huyu ananiambia anaujauzito wa mwezi mmoja
siko salama wakuu, hapa hofu yangu wife akijua hili timbuli atakufa mtu!
Sina namna, nakuombeni shortcut nimalizane na huyu beki tatu nibaki salama yaani iwe kimya kmya bla ya wife kujua!

By Ryan Babel/JF