Mwenyekiti wa CUF Taifa, Prof. Ibrahim Lipumba, amefunguka kuhusu matukio ya utekaji ambayo yamekuwa yakifanywa na watu wasiojulikana huku akitolea mifano kadhaa akiwemo mfanyabiashara maarufu nchini Mohammed Dewji. TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.