NEWS

31 Januari 2020

Michepuko Tuweni na Huruma Kidogo Jamani....Ona Huyu Dada Anachofanyiwa na Mchepuko wa Mmewe


Kuna wanawake wengine ni mashetani, hata kama unatembea na mme wake ndo ufanye hivyo jamani

Dada angu anapitia wakati mgumu anahitaji ushauri baada ya kushika simu ya Mme wake wakati ameacha chaji hapo jana jioni na akakuta meseji za hivi kutoka kwa mchepuko

Dada aliolewa na Mme wake mwaka mmoja na nusu na ana mtoto kichanga cha miezi 6

Anatamani amuulize Mme wake kulikoni anaogopa

Nimeshindwa nimwambieje mie