NEWS

31 Januari 2020

NIDA Wamesitisha Kutoa Copy za Vitambulisho Mtandaoni


Leo January 30, 2020 Nakusogezea hii taarifa mpya kutoka Mamlaka ya Vitambulisho Taifa NIDA ambapo wasitisha zoezi la kutoa nakala ya Vitambulisho kupitia mtandao