NEWS

28 Aprili 2020

Mwana FA Katangaza nia ya Kugombea Ubunge Mwaka huu 2020



NI April 27, 2020 ambapo mkali Mwana FA amefanya mahojiano kwenye kipindi cha XXL kinachorushwa Radio Clouds FM na kueleza nia yake  ya kugombea Ubunge Mwaka huu 2020.

Kuhusu kugombea Ubunge mwaka huu 2020, Chama changu hakijaruhusu kuongea lakini ikifika muda nitasema, lakini nia ya kugombea Ubunge ninayo ila hata mambo ya kwamba Jimbo lipi nitagombea tusubiri” -Msanii Mwana FA