Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Augustino Ramadhan amefariki Dunia leo saa 2 asubuhi katika Hospitali ya Agha Khan Dar es Salaam baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Jaji Augustino Ramadhani pia alikuwa Brigedia Jenerali kabla ya kuitwa katika sekta ya Sheria na kutumikia Mahakama.
Alipostaafu ujaji, alipewa kazi ya ukasisi, akatawazwa rasmi kuwa Mchungaji wa Dayosisi ya Kanisa la Anglikana lililopo Mkunazini Zanzibar na hivyo kuitwa “Mchungaji Augustino Ramadhani”