NEWS

27 Aprili 2020

Vifo vya corona vyafikia elfu 55 Marekani



Vifo vinavyotokana na corona vimeendelea kuongezeka Marekani ambapo hadi asubuhi hii wamefariki Watu 55,415,USA inaongoza kwa vifo vingi Duniani pia kwa visa ambapo leo vimefikia 987,322 na wamepona 118,781, Italia vifo 26,644 na visa 197,675,Hispania vifo 23,190 na visa 226,629.