NEWS

21 Julai 2020

Kigwangala Ashinda Kura za Maoni Jimbo la Nzega


Waziri wa Maliasili na Utalii Kigwangala aongoza kura za maoni Jimbo la Nzega Vijijini kwa kupata kura 415 kati ya 731 zilizopigwa,  John Doto Kisute amepata kura 264, Gabriel Ishole amepata kura 8. Wagombea wengine 16 wamepata chini ya kura 3 kila mmoja.