Katika Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete, amepata kura za maoni 369 za kugombea nafasi ya ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), akifuatiwa na Ramdhani Maneno, aliyepata kura 273 na watatu Said Zikatimu kura 223.