NEWS

20 Julai 2020

Magufuli "Maadui zetu Watasema Mengi ila Tupo Salama Corona Ipo Mbali Kule...Watalii Wanazidi Kuja"



“Naona Watalii wanazidi kuja, hongereni sana mnaosimamia Utalii, Tanzania tuko salama, Maadui zetu watasema mengi ila tupo salama, hata hapa hatujavaa barakoa, kwani sisi hatuogopi kufa!?, corona ipo mbali kule tuliimaliza, Watali waje tu watakuwa salama” -JPM baada ya uapisho wa Viongozi walioteuliwa kwenye nyadhifa mbalimbali, Ikulu ya Chamwino Dodoma leo