NEWS

14 Septemba 2020

CHATO KUNA JAMBO: Orodha ya Wasanii watakaokuwepo na kupanda Jukwaani Leo Chato Kampeni za Mgombea Urais CCM


CHATO KUNA JAMBO: Orodha ya Wasanii watakaokuwepo na kupanda Jukwaani Leo Jumatatu tarehe 14 Septemba 2020 kwenye Kampeni za Mgombea Urais CCM Dkt John Pombe Magufuli CHATO














Usikose kutufuatilia mubashara leo kupitia vituo vya runinga vya TBC, Clouds, ITV na Channel 10, pia matangazo yatarushwa kupitia Kurasa rasmi za Chama mitandaoni @ccm_tanzania @magufulijp @drhmwinyi

#T2020JPM

#VoteForMagufuli

#KuraYanguKwaMagufuli

#VitendoVinaSauti

#SecondRound