NEWS

14 Septemba 2020

Job Ndugai "Katoka Ulaya Jana Anataka Urais Haiwezekani Lazima Tumfundishe Tarehe 28 Oktoba"



"Ikulu haiachiwi ni mwiko, huwezi kuuza Mama Mkwe, tuliachiwa na Mwalimu Nyerere na Karume na chama chetu cha Mapinduzi hatuwezi waachia watu hawaeleweki"
"Hatuwezi waachia watu Ikulu wengine wamekuja jana wanatujaribu, katoka Ulaya jana anataka Urais haiwezekani lazima tumfundishe tarehe 28 Oktoba"

"Nchi inaboresha usafiri wa Anga wanapinga, barabara wanapinga, Meli wanapinga hadi Vituo vya afya wanapinga ndo maana wakati mwingine kama Spika huwa nawatoa nje nawaambia haya tokeni nje mkapinge huko nje wanasema Ndugai Mkorofi"

"Hii ajenda ya uhuru na Haki sio yao ni ya Wazungu ambao wanataka Uhuru ule wa wasagaji na ushoga. Maana Hakuna Uhuru usio na Mipaka hata chama Chao Chenyewe hakina Uhuru. Hawana Ajenda ya Maendeleo hata moja wanayozungumza"