NEWS

11 Septemba 2020

Kibanda Maiti ZANZIBAR Kesho Jumamosi Patakuwa Hapatoshi...Dkt Hussein Mwinyi Atafanya Jambo


Waeleze wana kuwa KibandaMaiti ZANZIBAR kuna jambo. Mjulishe mwenzako kuwa wanaCCM wana JAMBO lao na Rais wao ajaye, Mtu wa watu, Mnyenyekevu, Kijana Mchapakazi na anayekubalika Dkt Hussein Mwinyi. 

Ni kesho JUMAMOSI tarehe 12 Septemba 202O.