NEWS

12 Septemba 2020

Mama wa Country Boy na Dada zake Wazungumzia Mkataba wa Mwanae "Sijausoma bado ingawa katambulishwa tayari "


Katika tukio la kutambulisha EP ya Country Boy walihudhuria watu mbalimbali ikiwemo familia yake. Hapa ni Mama yake mzazi Mama Mnadingo pamoja na dada zake pia shemeji yake ambaye ni mke wa kaka yake Babuu wa Kitaa.

baada ya kuzungumza na familia yake wameeleza furaha yao juu ya Country wakimuona anazidi kupiga hatua kwenye kazi yake. Mama Mzazi amegusia suala la mkataba wa mtoto wake na haya ndio yalikuwa majibu yake