CHATO : Orodha ya Wasanii watakaokuwepo na kupanda Jukwaani Leo Jumatatu tarehe 14 Septemba 2020 kwenye Kampeni za Mgombea Urais CCM Dkt John Pombe Maguful. Tukio litakuwa mubashara leo kupitia vituo vya runinga vya TBC, Clouds, ITV na Channel 10