NEWS

13 Septemba 2020

Rais Magufuli Ampokea Rais Wa Uganda Mh.yoweri Kaguta Museveni Chato Mkoani Geita

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dk John Pombe Magufuli akiongozana na Rais wa Jamhuri ya Uganda Mh. Yoweri Kaguta Museveni mara baada ya kwasili kwenye uwanja wandege wa  Chato mkoani Geita leo Jumapili 3, Septemba 2020 kwa ajili ya kushuhudia utiaji saini ambapo Mawaziri wa Nishati wa Uganda na Tanzania wametia saini Mkataba wa utekelezaji wa baadhi ya vipengele katika Maradi wa Bomba la Mafuta kutoka Hoima nchini Uganda mpaka Tanga nchini Tanzania.