NEWS

13 Novemba 2020

Magufuli "Nafurahi kuona Wabunge wengine Wasanii wapo Bungeni"

 


 “Tutaendeleza sanaa, nafurahi kuona Wabunge wengine Wasanii wapo Bungeni, nawatakia kila la kheri Taifa Stars kwenye Mechi yao na Tunisia leo, namtakia kheri pia Hassani Mwakinyo ambaye anapambano leo, Watanzania tunataka ushindi tumechoka kushindwashindwa” Rais MAGUFULI Akiwa Bungeni