NEWS

13 Novemba 2020

Magufuli "Kutokuwa Wabunge wa Upinzani Hatusemi Muunge Mkono Kwenye Kila Kitu"

 


 “Kutokuwa Wabunge wa Upinzani hatusemi muunge mkono kwenye kila kitu la hasha!, penye kukosoa kosoeni ila mkosoea kwa tija, Spika niliona jana umewainua Madereva Wanawake Bungeni ningefurahi na wewe Spika uwe mfano uanze kuendeshwa na Dereva Mwanamke” Rais MAGUFULI Akiwa Bungeni.