“Katika miaka mitano ijayo tunakusudia kuviboresha vitambulisho vya Wajasiriamali kwa kuviongezea picha ili Wafanyabiashara wadogo watambulike na kuwawezesha kupata mikopo Bank, lengo ni kufanya wakue kibiashara'' Rais MAGUFULI Akiwa Bungeni