NEWS

25 Machi 2021

Maelfu Ya Watu Wilayani Chato Wajitokeza Kuupokea Mwili Wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli

Wananchi wa Katoro Geita na Buseresere Chato wakiwa wamesimama barabarani huku wengine wakitandika kanga na nguo kama ishara ya Heshima ya  kumuaga aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Awamu ya tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli wakati akipitishwa kuelekea Nyumbani kwake Chato jana  tarehe 24 Machi 2021. PICHA NA IKULU