NEWS

24 Machi 2021

Mwanza Yazizima.....Vilio,huzuni,simanzi Vyatawala Mapokezi Ya Mwili Wa Hayati Dkt.Rais Magufuli

 Msafara wa Aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Awamu ya tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli ukipita katika barabara ya Airport kuelekea katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza kwa ajili ya shughuli za kuagwa na maelfu ya Wananchi wa mkoa wa Mwanza na mikoa jirani leo tarehe 24 Machi 2021.PICHA NA IKULU