NEWS

25 Machi 2021

Viongozi, Wasanii Na Maelfu Ya Wananchi Watoa Heshima Za Mwisho Kwa Hayati Dkt Magufuli Kijijini Chato Mkoani Geita Leo

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe Hemed Suleiman Abdullah akiongoza wananchi kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Uwanja wa Magufuli kijijini Chato mkoani Geita leo Machi 25, 20121