NEWS

19 Januari 2014

Lupita Nyong’o Apata Tuzo Ya Best Supporting Actress

Muigizaji mahiri wa kike mzaliwa wa Kenya Lupita Nyong’o, amefanikiwa kujishindia tuzo katika Critics’ Choice Awards zilizofanyika jana tarehe 16 Marekani. Actress huyo alijishindia tuzo yake hiyo kupitia sinema ya 12 Years A Slave katika kipengele cha Best Supporting Actress ambapo alikuwa akiwania tuzo hiyo na Legend wa kipindi cha zamani cha Talk Show Oprah Winfrey.


Pia muigizaji huyo alipatiwa zawadi nyingine mara baada ya kumalizika kwa mahafali hayo ya ugawaji tuzo hizo za Critics’ Choice Awards. Washindi wengine waliofanikiwa kutwaa tuzo hizo ni :-

Best Supporting Actor – Jared Leto, Dallas Buyers Club

Best Supporting Actress – Lupita Nyong’o, 12 Years a Slave

Best Young Actor/Actress – Adele Exarchopoulos, Blue Is The Warmest Color

Best Acting Ensemble – American Hustle

Best Director – Alfonso Cuaro´n, Gravity

Best Original Screenplay – Spike Jonze, Her

Best Adapted Screenplay – John Ridley, 12 Years a Slave

Best Cinematography – Emmanuel Lubezki, Gravity

Best Art Direction – Catherine Martin (Production Designer), Beverley Dunn (Set Decorator), The Great Gatsby

Best Editing – Alfonso Cuaro´n and Mark Sanger, Gravity

Best Costume Design – Catherine Martin, The Great Gatsby

Best Hair & Makeup – “American Hustle” Best Visual Effects – Gravity

Best Animated Feature – Frozen

Best Action Movie – Lone Survivor

Best Actor in an Action Movie – Mark Wahlberg, Lone Survivor

Best Actress in an Action Movie – Sandra Bullock, Gravity

Best Comedy – American Hustle

Best Actor in a Comedy – Leonardo DiCaprio, The Wolf of Wall Street

Best Actress in a Comedy – Amy Adams, American Hustle

Best Sci-Fi/Horror Movie – Gravity

Best Foreign Language Film – Blue Is the Warmest Color

Best Documentary Feature – 20 Feet From Stardom

Best Song – Let It Go Robert Lopez and Kristen Anderson-Lopez, Frozen

Best Score – Steven Price, Gravity


Huku sinema ya Gravity ikiongoza kwa kutwaa tuzo nyingi… Sinema hiyo ya twaa tuzo saba ikifatiwa na American Hustle iliyochukuwa tuzo nne .