Baada ya kukaa kimya kwamuda mrefu pasipo kuachia wimbo wowote single, Ally Kiba sasa amerudi na kitu kipya kinaitwa Rosa. Sikiliza wimbo huu na mdau wetu utatuambia je ukimya wa Ally kiba Umezaa Matunda mazuri kupitia wimbo wake huu mpya wa Rosa?