NEWS

22 Machi 2017

Kimenukaa..Kamanda Sirro Amuita Makonda Centro,Awataka Wote Waliohusika Aonanae Nao Polisi Haraka..!!!!


Kamishna wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro amesema suala la uvamizi wa kituo cha Clouds Tv wahusika wanatakiwa kuripoti tukio hilo Polisi haraka.Amesema atafuatilia kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Suzan Kaganda kama tayari limeripotiwa kwa hatua zaidi