NEWS

1 Januari 2019

PICHA: MAANDALIZI YA SHOO YA ‘MASAUTI LUXURY’ LIFE CLUB LEO

Muonekano wa steji ya Masauti Luxury katika Viwanja vya Life Club Mwenge.

LEO itafanyika shoo kubwa ya aina yake ya fungua mwaka 2019 iliyopewa jina la Masauti Luxury itakayofanyika katika Viwanja vya Life Club Mwenge jijini Dar es Salaam.

 

Wasanii watakaofanya shoo ni mwanadada ‘lejendari’ kwenye Muziki wa Bongo Fleva, Judith Wambura ‘Lady Jay Dee’, Mkongwe wa Muziki wa Dansi, Christian Bella ‘Obama,’  Aslay Isihaka, Hellen George ‘Ruby’ na Beka.

Kiingilio cha Shilingi 30,000/=  Kwa meza ya 500,000 watu 7-8, Ina Bucket ya Jackdaniel yenye full package ya 200,000.

 

The post PICHA: MAANDALIZI YA SHOO YA ‘MASAUTI LUXURY’ LIFE CLUB LEO appeared first on Global Publishers.