NEWS

2 Juni 2019

Anthony Joshua Apigwa KO na Andy Ruiz Jr kutoka Mexico (Picha +Video)

Bondia Andy Ruiz Jr kutoka Mexico (kushoto) akipigana na  Anthony Joshua kutoka Uingereza usiku wa kuamkia leo

Bondia Andy Ruiz Jr kutoka Mexico ameishangaza dunia baada ya kumtwanga wa KO na kumshinda bingwa wa dunia uzani wa juu, Anthony Joshua kutoka Uingereza. Joshua aliangushwa mara nne katika pambano hilo lililopigwa Ukumbi wa Madison Square Garden.

JEFF POWELL’S SCORECARD
JOSHUA ROUND RUIZ JNR
9 1 10
10 2 9
8 3 10
10 4 10
10 5 9
9 6 10
56 TOTAL

Bondia Andy Ruiz Jr kutoka Mexico (kushoto) akipigana na  Anthony Joshua kutoka Uingereza usiku wa kuamkia leo.

Anthony Joshua (kushoto) akiwa chini.

… Anthony Joshua akiongea na refa.

The post Anthony Joshua Apigwa KO na Andy Ruiz Jr kutoka Mexico (Picha +Video) appeared first on Global Publishers.